5:21 Akafukuzwa mbali na wanadamu, moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama, na makao yake yalikuwa pamoja na punda-mwitu; akalishwa majani kama ng'ombe, mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni; hata alipojua ya kuwa Mungu Aliye juu ndiye anayetawala katika ufalme wa wanadamu, na ya kuwa humweka juu yake yeye amtakaye, awaye yote.
|
Seek to any passage:
Search the text:
Multilingual Online Bibles
It is possible now to have the Holy Scriptures on your browser and to read
it by using parallel display that will allow you to make comparisons between
different translations or versions for a specific language. This occasion is
unique, and you have only to add new parallel versions from the left side "Add
parallel language" selector.