Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Wimbo Ulio Bora

Wimbo Ulio Bora 1:8

1:8 Usipojua, wewe uliye mzuri katika wanawake, Shika njia uzifuate nyayo za kondoo, Na kuwalisha wana-mbuzi wako Karibu na hema za wachungaji.