Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Ufunuo wa Yohana

Ufunuo wa Yohana 22:19

22:19 Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.