Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Ufunuo wa Yohana

Ufunuo wa Yohana 22:18

22:18 Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyaongeza, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.