Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Mambo ya Walawi

Mambo ya Walawi 23:43

23:43 ili vizazi vyenu vipate kujua ya kuwa niliwaketisha wana wa Israeli katika vibanda, hapo nilipowaleta kutoka nchi ya Misri; mimi ndimi Bwana Mungu wenu.