Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Mambo ya Walawi

Mambo ya Walawi 23:2

23:2 Nena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Sikukuu za Bwana, ambazo mtazipigia mbiu kuwa ni makusanyiko matakatifu; hizi ni sikukuu zangu.