Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Mambo ya Walawi

Mambo ya Walawi 23:22

23:22 Nanyi hapo mtakapovuna mavuno ya nchi yenu, usivune kabisa kabisa pembe za shamba lako, wala msiyakusanye masazo ya mavuno yako; utayaacha kwa ajili ya huyo maskini, na mgeni; mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.