Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Mambo ya Walawi

Mambo ya Walawi 23:21

23:21 Nanyi mtapiga mbiu siku iyo hiyo; kutakuwa na kusanyiko takatifu kwenu; msifanye kazi yo yote ya utumishi; ni amri ya milele katika makao yenu yote, katika vizazi vyenu.