Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Mambo ya Walawi

Mambo ya Walawi 23:13

23:13 Na sadaka yake ya unga itakuwa sehemu za kumi mbili za efa za unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, ni kafara iliyosongezwa kwa Bwana kwa moto kuwa harufu ya kupendeza; na sadaka yake ya kinywaji itakuwa ni divai, robo ya hini.