Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Ezra

Ezra 6:4

6:4 ziwepo safu tatu za mawe makubwa, na safu moja ya miti mipya; gharama zake zitolewe katika nyumba ya mfalme.