Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Ezra

Ezra 6:21

6:21 Wana wa Israeli wakaila, wale waliorudi kuitoka nchi ya uhamisho wao, na watu wote ambao pamoja nao wamejitenga na uchafu wa taifa za nchi, ili kumtaka Bwana, Mungu wa Israeli,