Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Ezra

Ezra 6:19

6:19 Kisha, wana wa uhamisho wakaifanya Pasaka, mwezi wa kwanza siku ya kumi na nne ya mwezi.