Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Ezra

Ezra 6:18

6:18 Wakawaweka makuhani katika kura zao, wakawaweka na Walawi katika zamu zao, kwa ajili ya huduma ya Mungu, iliyokuwako Yerusalemu; vile vile kama vilivyoandikwa katika chuo cha Musa.