Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Danieli

Danieli 5:8

5:8 Basi wakaingia wenye hekima wote wa mfalme; lakini hawakuweza kuyasoma yale maandiko, wala kumjulisha mfalme tafsiri yake.