Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Danieli

Danieli 5:26

5:26 Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.