Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Danieli

Danieli 5:20

5:20 Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.