Electronic Bibles / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Danieli

Danieli 5:17

5:17 Ndipo Danieli akajibu, akasema mbele ya mfalme; Zawadi zako zishike wewe mwenyewe; na thawabu zako mpe mtu mwingine; walakini nitamsomea mfalme maandiko haya, na kumjulisha tafsiri yake.